E

Msaada na Support

Jibu maswali yako na pata msaada wa account.

Need help?
Wasiliana na EMMPA Support

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

EMMPA Shares ni nini?

Hisa unazonunua kwenye Akaunti Yako. Salio, lots, na payout vinaonekana kutoka akaunti yako ya EMMPA, si namba za mfano.

Akaunti inaonyesha nini?

Salio lako, maombi ya ongeza salio / cash out / hamisha, na EMMPA Care Fund. Mwakilishi ndiye anayeidhinisha pesa inayoingia au kutoka.

Position transfer inafanyaje kazi?

Unaweza ku-list position yako kwenye Marketplace. Premium inahesabiwa kutoka payout yako halisi.

Payout inahakikishwaje?

Payout Center inaonyesha malipo yaliyorekodiwa. Status pending / paid / failed ndiyo hali ya ombi lako.